KOZI ZINAZOTAFUTWA ZAIDI KWA KUSOMA NJE YA NCHI 2025

Kusoma nje ya nchi ni hatua muhimu kwa mwanafunzi anayetaka kupata elimu ya kimataifa na fursa pana za ajira duniani. Kila mwaka, maelfu ya wanafunzi kutoka Tanzania husafiri kwenda nchi mbalimbali kama Canada, UK, Turkey, India, China, Malaysia, USA na Germany kutafuta elimu bora, teknolojia ya kisasa na mazingira ya kimataifa ya kujifunza. Ikiwa unatafuta […]
KOZI ZITAKAZODUMU KATIKA ZAMA HIZI ZA TEKNOLOJIA

Dunia ambayo mtoto wako ataingia haitafanana kabisa na ya leo. Kwa mujibu wa tafiti, ifikapo mwaka 2030 karibu asilimia 30 ya kazi za sasa zitakuwa zimebadilishwa na teknolojia na mifumo ya kiotomatiki (automation). Hii haimaanishi ajira kupotea, bali kubadilika kwa namna kazi zinavyofanyika. Wataalamu wanasema wafanyakazi 6 kati ya 10 watahitaji ujuzi mpya ifikapo mwaka […]
KOZI ZA KUSOMEA KULINGANA NA SOKO LA AJIRA

1. Kozi za Afya na Sayansi ya Tiba 2. Kozi za TEHAMA na Sayansi ya Kompyuta 3. Kozi za Biashara na Uongozi 4. Kozi za Ualimu na Sayansi ya Jamii 5. Kozi za Ufundi, Kilimo na Uhandisi 6. Kozi za Ubunifu na Sanaa