TANLINK EDUCATION AGENCY YAENDELEA NA SCHOOL VISIT KATIKA SHULE ZA SEKONDARI MKOA WA DAR ES SALAAM

Tanlink Education Agency imeendelea na kampeni yake ya kutembelea shule mbalimbali za sekondari katika mkoa wa Dar es Salaam, ikiwa na lengo la kutoa muongozo sahihi wa elimu na kufungua fursa kwa wanafunzi kusoma nje ya nchi kwa gharama nafuu. Kupitia programu hii, wanafunzi wamepata elimu juu ya namna ya kuchagua kozi sahihi kulingana na […]